Klabu ya Yanga imethibisha kocha wao mpya Cedric Kaze ameanza safari ya kuja nchini kwa ajili ya kuanza kibarua chake cha kuifundisha timu ya WANANCHI. Kaze anatarajiwa kutua Dar es Salaam saa 4 usiku wa leo Oktoba 15, 2020 kwa ndege ya Shirika la KLM.
Tags
SPORTS