=====================================
Barcelona inaweza kumsajili kiungo wa Man United , Paul Pogba (27), katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kuboresha safu ya kiungo ambayo inaonesha kupwaya. Usajili huo wa Pogba unaweza kukamilika kwa Ousmane Dembele kutua Man United ikiwa sehemu ya mabadilishano ya wachezaji.
Tags
SPORTS