Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amemtaka mgombea urais kupitia CHADEMA, TUNDU LISU kuripoti kituo cha Polisi Moshi Kilimanjaro, kutokana na kitendo anachodaiwa kufanya cha kukaripia, kuwagombeza na kugombana na viongozi wa polisi.
Tags
BREAKING NEWS