Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imekubali kichapo cha goli 1-0 dhidi ya Burundi katikà mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliopigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Goli la Burundi katika mchezo huo limefugwa na Saidi Ntibazonkiza dakika ya 85'.
Tags
SPORTS



