MRITHI WA MFALME WA KUWAIT AAPISHWA

 Mfalme mpya wa Kuwait ameapishwa bungeni leo wakati nchi hiyo ikijitayarisha kufanya mazishi ya kiongozi wa nchi hiyo Sheikh Sabah al-Ahmad al-Sabah, kiongozi muhimu wa eneo la ghuba ya Uarabuni ambaye amesaidia kuwaongoza watu wake kupitia katika miongo kadhaa ya misukosuko.





Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form