Haya ni Matokeo ya Mvua ilionyesha jana katika Jiji la Dar es salaam , hapa ni kwenye Daraja la juu la Mfugale maarufu kama Flyover lililopo katika eneo la Tazara jijini Dar. Daraja hili lilizinduliwa Septemba 2018 na limegharimu Dola milioni 42 sawa na Bilioni 92.4
Tags
BREAKING NEWS