Kaimu Afisa Habari na Mawasiliano wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Nago, amesema kupitia Mwanasheria wao tayari wamemtumia barua ya wito msanii mkongwe wa BongoFleva Jidejaydee kuhusu wimbo wake mpya ambao unadaiwa kuhamasisha uvutaji wa Bangi.
Tags
MUSIC