''Nchi hii ni bado ya wakulima na wafanyakazi, hatuwezi kuwa nchi ya watu wenye kudai na kudai, nawaomba ndugu zangu watanzania hatujalemaa sana, lakini kilema kipo.
"Kila mtu anataka maendeleo, lakini si kila mtu anaelewa na kukubali mahitaji muhimu ya maendeleo, hitaji kubwa ni kufanya kazi kwa bidii" Mwalimu Nyerere" Julius Nyerere