"Watu wawe na subira hakuna sababu ya kuwa na mihemko, ni suala la kutangaza sera halafu subiri maamuzi ya wananchi tarehe 28 mwezi huu, kwa hiyo suala la kutukana haliwezi kumvutia yoyote, kejeli haiwezi kumsaidia mtu yoyote" Kamanda MamboSasa.
Tags
UCHAGUZI