Nahodha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, John Bocco atakosekana katika kikosi kitakachoikabili Burundi Oktoba 11, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kocha wa Taifa Stars Etienne Ndairagije amesema Bocco hayupo timamu kiafya kwahiyo hatokuwa sehemu ya kikosi.
Tags
SPORTS