"With this trend, I see Azam Fc vying for the title this season, they have a good team and really deserve congratulations. VPL.
-------------------------------------------------------------
"Kwa mwenendo huu, naiona Azam Fc ikipigania taji msimu huu, wanakikosi kizuri na kweli wanastahili hongera.Timu inayopigania mataji huwa hailalamiki lalamiki hovyo, huwaoni na makabrasha TFF wala FIFA au CAS" Haji Manara baada ya Azam FC kushinda mechi yao ya 6 mfululizo ya VPL.
Tags
SPORTS