Bweni la Wasichana la shule ya secondari Oljoro iliyoko wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara limeteketea kwa moto ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana. Moto huo umesababisha uharibifu wa miundombinu majengo na vifaa vya wanafunzi.
Tags
BREAKING NEWS
