Jeshi la polisi mkoani Songwe linawashikilia madiwani wawili wa CCM Kata ya Isansa na Itumpi wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kwa kushindwa kulipa Sh. Mil 15 walizokopa katika chama Cha ushirika Cha msingi (AMCOS) ya Isansa huku AMCOS hiyo ikidaiwa zaidi ya Sh Mil 132