"Nataka haraka iwezekanavyo uwanja wetu wa Chamazi (Azam Complex) utakapokamilika, nianze kuwafundisha vile nitakavyo, katika kumiliki mchezo, kucheza kwa kasi, moja mbili (one, two) ili tuweze kucheza vizuri zaidi huko mbeleni"Aristica Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC.