MAMA AMNYONGA MWANAE WA KUMZAA

Mkazi wa Nyamilamba Kwimba mkoani Mwanza, Helena Washera (19), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumnyonga mwanaye Abdallah Simon (miezi 9) hadi kufa, ili aolewe. Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza Jumanne Muliro amesema, Helena alishirikiana na mpenzi wake kufanya kitendo hicho.

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form