MAHAKAMA YATOA HUKUMU KESI YA CHADEMA


Mahakama imewahukumu Viongozi wa CHADEMA kulipa faini ya Tsh. Milioni 10 kwa kila shtaka kwa shtaka la 2, 3 na 4 au kwenda gerezani miezi 5 Mbowe amepigwa faini ya Tsh. Milioni 10 kwa shtaka 5, Tsh. Milioni 10 kwa shtaka 6 na Halima Mdee faini Tsh. Million 10, kwa shtaka la 7



Faini ya Mil. 10 kwa Joheche ktk shtaka la 8, Tsh. Mil 5 kwa Mbowe ktk shtaka la 9 na mil 5 kwa shtaka la 10
Mil.10 kwa Peter Msigwa ktk shtaka la 12, Mil 10 kwa Mbowe ktk shtaka la 11 na Mil 10 kwa Ester Bulaya kwa shtaka la 13

 Wakili wa Utetezi, Peter batala amemwomba Hakimu Washtakiwa walipe faini badala ya kuwapa adhabu ya kifungo baada ya washtakiwa wote kukutwa na Hatia kwenye makosa 12 kati Ya makosa 13 yaliyokuwa yanawakabili
Quote Tweet
 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA katika mashtaka 12, isipokuwa shtaka la kwanza la kula njama
> Kuhusu Mauaji ya Akwilina, Hakimu amesema haliwezi kuzungumziwa Mahakamani hapo kwani ni Kesi ya mauaji na si hoja ya msingi
Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form