NDEGE YASHINDWA KUTUA JOMO KENYATTA AIRPORT

Ndege ya Shirika la Kenya KQ 708 kutoka Lusaka Zambia kwenda Nairobi Kenya imetua kwa dharura jijini Arusha, Tanzania baada ya kushindwa kutua mara mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form