RAIS MAFUGULI AMLIPIA PETER MSIGWA MILIONI 38
Rais John Magufuli amemlipia Tsh. Milioni 38 Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa kati ya Tsh. Milioni 40 alizotakiwa kutoa kama faini
Msigwa alihukumiwa na Viongozi wengine wa CHADEMA ktk Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu