WAZIRI AKUTWA NA CORONA

Waziri wa Afya wa Uingereza, Nadine Dorries ameambukizwa Corona, na kuwa Mbunge wa kwanza Uingereza kuathirika na virusi hivyo - Yuko karantini nyumbani kwake na anaendelea vizuri - Aidha, Watu 6 wamefariki dunia Uingereza, na walioambukizwa wamefikia 382

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form