Home RONALDINHO ATIWA KIZUIZINI byomie digital -Saturday, March 07, 2020 Ronaldinho akipiga "selfie" na wafanyakazi wa ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Paraguay baadaya ya kuhojiwa. Nyota huyo wa zamani wa Brazil anaendelea kushikiliwa na polisi wa Paraguay kwa kuingia nchini humo akitumia pasipoti feki. Facebook Twitter Share:RONALDINHO ATIWA KIZUIZINI Facebook Twitter WhatsApp Pinterest LinkedIn Reddit Tumblr Telegram Email