RWANDA YATHIBITISHA MGONJWA MPYA WA CORONA

Wizara ya Afya ya #Rwanda imethibitisha kuwepo mtu wa kwanza mwenye virusi vya #corona nchini humo. Muathirika ni raia wa #India aliyewasili nchini Rwanda Machi 8 mwaka huu akitokea Mumbai
Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form