WATANZANIA WAWILI WAUAWA KWA UCHAWI

Watanzania wawili wameuawa kinyama na miili yao kukatwa kisha kuchomwa moto kwa madai kuwa ni Wachawi.

Mbali na wawili hao, Mwanamke mmoja aliyekuwa nao pia amejeruhiwa vibaya na hivi sasa yupo Hospitali akiendelea na matibabu.

Kamanda wa Polisi Mkoani Rukwa, Justine Masonje amesema Watanzania hao ni miongoni mwa watu 50 walioripotiwa kuuawa nchini Zambia kutokana na imani za kishirikina
Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form