LIGI YA MPIRA WA KIKAPU KUSIMAMA KWA MUDA KUFUATIA MLIPUKO WA CORONA
byomie digital-
Marekani imesitisha kwa muda Ligi ya Mpira wa Kikapu nchini humo (NBA), katika kupambana na kuenea kwa maambuziki ya Coronavirus. Hapo jana mchezaji mmoja wa Utah Jazz alikutwa na maambukizi ya ugonjwa huo.