AFRIKA KUSINI YATHIBITISHA MGONJWA WA KWANZA WA CORONA
Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 38 nchini Afrika Kusini amebainika kuwa na virusi vya #CoronaVirus.
Wizara ya Afya nchini humo imethibitisha kuwa mgonjwa huyo alitembelea nchi ya Italia akiwa na mke wake.