RONALDINHO AKAMATWA AKIDAIWA KUTUMIA NYARAKA ZA KUGHUSHI KUSAFIRIA
- Ronaldinho (39) amekamatwa nchini Paraguay akidaiwa kutumia nyaraka hizo kuingia nchini humo
- Amekamatwa na Kaka yake, Roberto huku hati zao za Kusafiria zikionesha wao ni raia wa Paraguay