RAIS MUSEVEN AZUNGUMZIA KUMPIGA MKE WAKE

Soma zaidi>>>


“Kumpiga Mwanamke ni udhaifu, kwanini umpige Mwanamke wakati umemzidi nguvu?, kama unataka kupigana mtafute Mwanaume kama wewe mpigane, nipo na Mke wangu Mama Janet kwa miaka 47 na sijawahi hata kumsukuma, ni bora umpige Mkeo kwa ulimi na sio kwa ngumi na mateke”- Rais Museveni
Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form