Machi 8 kila mwaka ni maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani. Lengo la maadhimisho ni pamoja na kupinga ubaguzi dhidi ya wanawake na kuhakikisha wanashiriki katika shughuli za maendeleo duniani. Maadhimisho ya siku hii kitaifa yanafanyika mkoani Simiyu. #IWD2020