#CORONAVIRUS: Watu waliofariki wamefikia 3,286, Wagonjwa 95,483 na waliopona 53,688
- Vifo vingi nje ya China: Italia-107, Iran-92, Korea Kusini-35 na Marekani-11
- Italia imefunga shule na vyuo vyote hadi Machi 15 huku Facebook ikifunga ofisi zake za Seattle kwa wiki 1