: Waziri wa Utamaduni wa Ufaransa, Frank Riester amethibitika kuwa na Virusi vya Corona
> Kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Olivier Veran, Riester anaendelea vizuri na anapumzika nyumbani
> Waziri Riester alikutana na Rais Emmanuel Macron siku chache zilizopita