"Mamba ana nyama tamu sana, Anzeni kula nyama yake badala ya kutegemea kitoweo cha samaki pekee lakini kwanza muombe kibali kutoka Maofisa Wanyamapori cha kuwavuna kinachotolewa kila Julai mosi. Pia ngozi yake ni biashara yenye tija ndani na nje ya nchi" Naibu Waziri