SERILALI YAKAMATA WALIO JARIBU KUMUUA WAZIRI MKUU

Serikali ya Sudan imesema imewakamata watuhumiwa waliohusika katika jaribio la kumuua Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Abdalla Hamdok
Timu ya usalama ya Marekani ilifika Khartoum na kushirikiana na wapelelezi wa Sudan kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo.
Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form