AJALI YAONDOKA NA WACHEZAJI 8

GUINEA: WACHEZA MPIRA 8 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI > Wachezaji 8 wa timu ya Etoile de Guinee wamefariki dunia katika ajali ya basi, wengine 17 wamejeruhiwa > Ajali imetokea wakati timu inaelekea Mjini Kankan kwa ajili ya mechi.
Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form