Mchezo wa Ligi Kuu ya England kati ya Man City na Arsenal uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa baada ya mmiliki wa Olympiakos, Evangelos Marinakis kubainika kuwa na virusi vya corona. Marinakis alikutana na wachezaji wa Arsenal wakati wa mchezo wa #EuropaLeague dhidi ya Olympiakos
Tags
BREAKING NEWS