Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli amekabidhi viti mwendo.soma zaidi
(Wheelchairs) vipatavyo 210 kwa baadhi ya Wabunge kwa ajili ya kuwagawia watoto wenye uhitaji majimboni kwao. Hafla hiyo ya kukabidhi imefanyika leo Machi 5, 2020 Ikulu jijini Dar es salaam.