DARAJA LA DODOMA MOROGORO LAKATIKA

Mawasiliano kati ya Mikoa ya Dodoma na Dar yamekatika kwa mara nyingine baada ya daraja la Kiyegeya lililopo Gairo mkoani Morogoro (lililokuwa likifanyiwa ukarabati) kusombwa tena na maji ya mvua iliyonyesha
Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form