Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuwa utaratibu wa wachezaji kupeana mikono kabla ya mechi hautatumika kwa sasa, badala yake watasalimiana kwa ishara tu. Hatua hiyo ni utekelezaji wa ushauri wa Wizara ya Afya ikiwa ni njia ya kujikinga dhidi ya virusi vya corona.
byomie digital
-
Share:Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuwa utaratibu wa wachezaji kupeana mikono kabla ya mechi hautatumika kwa sasa, badala yake watasalimiana kwa ishara tu. Hatua hiyo ni utekelezaji wa ushauri wa Wizara ya Afya ikiwa ni njia ya kujikinga dhidi ya virusi vya corona.