HARMONIZE AWEKA WAZI MALENGO YAKE 2020

konde boi akizungumzia moja ya plan zake katika mwaka 2020
"Plan zangu mwanzoni ilikua ni kuweka nyimbo 12 tu kwenye Album yangu ya AFRO EAST. Lakini Mwenyezi mungu amenibariki kuwa na mahusiano na wasanii wengi na nilikua natamani kufanya nao kazi, Hivyo list ya nyimbo ndio ikawa inaongezeka," @harmonize_Tz.
Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form