Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akinyanyua kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka”baada ya kukizindua katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Zanzibar ambacho kimeandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania,Kocha Gulam Abdalla
Pia Dk.Ali Shein ametoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Tags
BREAKING NEWS