Mgombea urais kupitia Chadema Tundu Lissu akisalimiana na wananchi wa Bahi mkoani Dodoma, akiwa njiani kuelekea mkoani Singida kuendelea na mikutano yake ya kampeni baada ya adhabu yake kuisha hapo jana Oktoba 9, 2020.
Tags
UCHAGUZI