Beki wa klabu ya Ajax, Sergino Dest ametua Barcelona tayari kukamilisha dili la kujiunga na miamba hiyo ya Spain. Dest raia wa Marekani mwenye umri wa miaka 19 amesajiliwa Barcelona kurithi mikoba ya Nelson Semedo aliyetimkia Wolverhamptom Wonderes.
Tags
SPORTS