Klabu ya Manchester City imethibitisha kumsajili beki wa kati, Rúben Dias kutoka klabu ya Benfica ya nchini Ureno kwa ada ya Pauni Milioni 65. Dias mwenye umri wa miaka 23 amesaini mkataba wa miaka 6 hadi 2026.
Tags
SPORTS