RAIS MAGUFULI ATOA TAKWIMU YA MAENDELEO YALIYOFANYWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI

'' Nchi hii ilikuwa shamba la bibi, kila mahali tulikuwa tunaibiwa. Tena hata watanzania wenzetu walikuwa wanatetea wezi - CCM imeweka umeme kwa vijiji 9,570 ndani ya miaka 5 na haiwezi kushindwa vichache vilivyobakia

 Mimi siwezi sema mkinichagua kodi nitafuta, siwezi futa  Tutaendelea kulipa kodi inayowezekana, ndio maana wamachinga tumewawekea kodi ya tsh 20,000 kwa mwaka

Kuna watu wanasema tutafanya hivi, tutafanya vile. Hizo ni ndoto, kuongoza nchi ni kazi kubwa... - Huwezi ukasema mimi mkinichagua kila kitu nitawaletea. Hauwezi sema mimi mkinichagua hamtalipa kodi'' JOHN MAGUFULI.

 


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form