HAJI MANARA ALINDA MIPAKA YAKE

Hii ni baada ya uvumi ulioenezwa kuhusu ugomvi unaozushwa kutokea huko Arusha wakati wa maandalizi ya ngao ya Jamii, baina ya mshambuliaji wao Meddie Kagere na kocha mkuu Sven Vandenbroeck, ameandika

unaposema kitu kama chombo cha habari lazima uwe na uthibitisho nacho, kwa ukubwa wetu na kwa mujibu wa majukumu yangu, ukituzushia tegemea kushukiwa kwa ukubwa ule ule wa Simba SC, Simba ishavuka ktk brand ni baba yake huyo brand mwenyew, So ktk hili hatutacheka na mtu.

am sorry ndugu zangu,,,kila mmoja alinde kazi na taasisi yake,,Nadhani tumeelewane Wakubwa zangu, Alimalizia.


 

 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form