Ofa ya Manchester United ya pauni milioni 91.3 kwa ajili ya mshambuliaji wa England Jadon Sancho, 20 imekataliwa na Borussia Dortmund. Manchester nayo inahofia kushusha thamani yake ikiwa ofa yake nyingine kwa ajili ya Sancho itakataliwa na Dortmund.
Tags
SPORTS