Katibu Mkuu Wizara Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbasi ametuma salamu za pole kwa familia ya mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Said Mabera ambaye alifariki usiku wa kuamkia Septemba 29,2020. "Kifo cha Mzee Said Mabera ni pigo kwa tasnia ya muziki wa dansi nchini"