Rais Magufuli amemteua Dkt.Eblate Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) akichukua nafasi iliyoachwa na Dkt.Simon Mduma ambaye amestaafu, kabla ya uteuzi Mjingo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Tiba ya Wanyamapori na Huduma za Maabara wa TAWIRI.
Tags
BREAKING NEWS