KOCHA AUSEMS APATA SHAVU

Aliyekuwa kocha wa Simba SC Patrick Aussems anahusishwa na kujiunga na klabu ya Zesco United FC ya nchini Zambia, inaelezwa kuwa wapo kwenye mazungumzo ya awali ili aweze kuchukua nafasi ya George Lwandamina ambaye ameondoka klabuni hapo. 






Akiwa Simba, PatrickAussems alitwaa ubingwa wa VPL x 1, FA Cup x 1, Ngao ya Jamii x 2 pamoja na kuifikisha Simba SC 

 hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.











Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form