TUME YA. MADINI YAIBUKA MSHINDI

 Tume ya Madini imetangazwa kuwa mshindi wa kwanza kwa upande wa Taasisi wezeshi za serikali kwenye sekta ya madini kwenye kilele cha maonesho ya tatu ya teknolojia na uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliyofanyika kuanzia Septemba 17- 27, 2020, mkoani Geita.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form