Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyeregete wilayani Mbarali Adelhard Mjingo mwenye umri wa miaka 44, anashikiliwa na TAKUKURU mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kuomba rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wa darasa la 7 wa miaka 14 kwa ahadi ya kumsaidia kimasomo.
Tags
BREAKING NEWS