Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Njombe kwa tuhuma ya mauaji ya kada wa CCM na Mwenyekiti wa UVCCM, Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Emmanuel Mlelwa aliyeuawa na kutambuliwa siku 6 baada ya kifo chake.
Tags
BREAKING NEWS